iqna

IQNA

Riyad Mansour
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Mwakilishi wa Palestina katika Umoja wa Mataifa amelitaka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, Baraza Kuu na nchi zote duniani, kutekeleza wajibu wao wa kimataifa wa kisheria, kiutu na kimaadili ili kuwatetea watu wasio na ulinzi wa Palestina na katika mkabala wa uvamizi na hujuma za utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3476645    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/02